Wapendwa wana janvi Happy new year, naomba msaada jinsi ya kupata hotuba ya Rais Kikwete youtube inayo husu bakabidhiano ya rasimu ya pili ya katiba mpya. nilikuwa nje ya mtandao nisameheni kwa usumbufu na Mungu awabariki, mema yaambatane nanyi 2014.