Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
wacha weeeAliyekuambia Asamoah kapotea Nani.Kweli wewe sio mpenzi wa mpira.Mwenzio alikimbia UK kwenda Arabuni kufata hela, wazungu wakashangaa, akawaambia mi natafuta hela sio kucheza ligi kubwa na timu kubwa.Hiyo ndo tabia halisi ya Muafrika.Saivi ni tajiri balaa.Amejenga jumba balaa
Ni Suares sio sanchesYote yalisababishwa na
Huyu mbwa Sanchez
Kushika mpira na mkono
Kiaz huyu me mpaka
Leo hii kitu hua inaniboa kinyama nkikumbuka
Ooh! Thanks mkuuNi Suares sio sanches
Huyu hapaAliyekuambia Asamoah kapotea Nani.Kweli wewe sio mpenzi wa mpira.Mwenzio alikimbia UK kwenda Arabuni kufata hela, wazungu wakashangaa, akawaambia mi natafuta hela sio kucheza ligi kubwa na timu kubwa.Hiyo ndo tabia halisi ya Muafrika.Saivi ni tajiri balaa.Amejenga jumba balaa
Mkuu bora umeweka hii jamaa ajue kuwa mshikaji anatafuta hela, sio kapotea kwenye soccer[/QUOTE][QUOTBora ussadam, post: 19353510, member: 6817"]Huyu hapa
Shanghai SIPGEdit
On 7 July 2015, Gyan confirmed on his own website that he had left Al Ain and set to join Chinese Super League club Shanghai SIPG. Shanghai SIPG then officially announced they signed Gyan from Al Ain with an undisclosed fee. It was then revealed that Gyan's weekly salary of £227,000 with his Chinese club instantly made him one of the world's best paid football players.
Sio Sanchez kweli ila sio Suares pia bali ni SuarezNi Suares sio sanches
Niliumia mkuuKabla sijasoma nilishahisi utaongelea tukio hili
Msamee bure bwege ni alokosa goal la kupewaMie sijawai msamehe Surez mpk leo na hata picha yake nikiionaga tu nageuza kichww nisimuone
Kaka kupotea ni kua famous n that is what I mean kuhusu pesa,hata hulkAliyekuambia Asamoah kapotea Nani.Kweli wewe sio mpenzi wa mpira.Mwenzio alikimbia UK kwenda Arabuni kufata hela, wazungu wakashangaa, akawaambia mi natafuta hela sio kucheza ligi kubwa na timu kubwa.Hiyo ndo tabia halisi ya Muafrika.Saivi ni tajiri balaa.Amejenga jumba balaa