Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Leo jioni jioni nilikua nimekaa sehemu mtaani kwetu tu hapa,
nimekaa pembeni mwa barabara wakapita wavulana wawili wamebebana kwenye baskeli wanaelekea kushoto, haikupita dakika 2, kuelekea mkono wa kulia akapita binti wa sekondari kama sio form 1 basi atakua form 2, nyuma yake akarudi dogo mmoja na baskeli alimuacha mwenzio huko mbele.. sasa mchezo ni kwamba dogo karudi kufukuzia totozi.
Dogo akawa anaongea huyo binti akiwa mbele anatembea..
Dogo; wewe.. Rama anasema hivi kakuelewa.
Akarudia mala mbili,
then akamwambia " ee niende nikamwambiaje ? "
Binti: Mwambie sawa..
Duuu story ikaishia hapo, nikacheka mwenyewe nikajisemea daaa hata mimi nimepitia hizi nyakati.. aiseee Siku zinakwenda kasi sana.
Basi bhana ila na leo asubuhi nimepigwa tukio, maeneo ya Nyumba ya jirani tu hapa...
Napita zangu kama kawaida Ni mgumu wa kutoa Salamu kama nimepishana na mtu Simjui na hatujagonganisha macho.
Nikapita hiyo nyumba kuna Mwanamke kasimama nje anaongea na binti..
Nikapita namtizama.. tu
sasa alikua kavaa nguo ya juu chini kajifunga mtandio,
bwana eee ile napita barabarani nikitazama alipo akatengeneza huo mtandio.
Yani kujifungua na kufunga upyaaa...
Hayo mapaja alooo, ni mwanamke Mrefu then shepu imesimama
Bila picha hamuwezi kunielewa vizuri, bt anyway nilikula kwa Macho nikapita zangu kinyonge sana.
"It is easy for a Girl to seduce a Boy
but for the Boy, you supposed to Open Your wallet to seduce her.