Natumai mko salama
Mwenzenu nilipigwa tukio ambalo liliniacha taabani kwa miezi kadhaa sasa
Wakati niko Chuo (SAUT) Mwanza, nilibahatika kupata mdada tuliekua nae chuo nikampenda na tukajikuta tupo kwenye mahusiano.
Baada ya kumaliza Chuo tuliamua kubaki Mwanza kupambana na maisha. 2019 rasmi tukaingia mtaani kujitafuta.
Tukaanza kuhangaika na biashara ndogondogo za hapa na pale ambazo zikawa zinatupatia kias kidogo cha pesa kujikim na maisha. Muda wote huo tulikua bado hatujatambulishana rasmi katka familia zetu.
2021 akapata ujauzito, na tukaelewana baada ya kujifungua bas twende nyumbani tukatambulishane. Bahati mbaya ujauzito ukaharibika ukiwa na miezi minne.
Lakini tukaendelea na mpango wetu wa kwenda kutambulishana kwa wazazi, ambapo tulienda kwao Moshi nikajitambulisha na nikatoa na mahari (maana nilikua nimesave kias flan cha pesa).
Mwaka uliofuata 2022 kuna rafiki yangu akanifundisha biashara ya mazao. Tukawa tunaenda kijijin kununua mazao (mpunga na mahindi) tunaleta mjini.
Biashara hii ilianza kunipa faida nzuri kidogo na maisha yetu kidogo yakaanza kubadilika tofauti na mwanzo.
Nikajikusanya pesa kama M5 nikamfungulia salon ya kike. Kisha nikajichanga tena kwa mda flani tukanunua kiwanja (Kisesa).
Nachomshukuru Mumgu skua mtu wa pombe wala wanawake so nilikua naweza kusave pesa japo biashara haikua kubwa sana.
Sasa kuna tukio likaja kunipata mwaka huu mwezi wa sita. Huwa tukienda kijijin kukusanya mazao huwa tunakaa siku nne mpaka wiki. Safari moja nikawa nimeenda kijijin, baada ya siku mbili pesa niliyokua nayo ikakata, nikasema nimpigie wife aniazime kias flani then nikiuza nzigo nimrudishie.
Siku hiyo nilipiga sana simu haipatikani Piga sanaaa lakini haipatikani. Kesho yake nikaamua kufunga safari kurudi home nijue tatizo ni nini. .
Nafika home sikuamini nilichokikuta.. Nilikuta nyumbani hakuna hata kijiko chumba cheupe, nikakimbia salon kwake sikukuta ata kitana😭...
Alibeba kila kitu akatokomea. Nikapiga simu kwao wakasema hawajui alipo na hata wao hawampati kwenye simu.
Niliumia sana maana sikujua sababu ya yeye kuondoka ni nini, hatukua na ugomvi wowote tuliishi kwa amani na upendo.
Baadae mwezi wa nane nikaja kuskia kumbe aliondoka na rafiki ake walienda Uarabuni kufanya kazi. Sikutaka tena kumfatilia wala kujua habari zake.
Japo alinirudisha nyuma sana kiuchumi na kila kitu coz nilijikuta nimeanza maisha upya kabida na nikaanza kunywa pombe kuondoa mawazo mpaka biashara nikastop.
Nashukuru Mungu ile hali niliishinda nikaachana na pombe na nimeanza tena biashara yangu mdogomdogo.
NIPO HAPA KWA SHIDA MOJA
Kwa mda mrefu sana nimejikuta sipo kwenye mahusiano maana niliyachukia kwelikweli. Naomba kama kuna mdada ambae yuko tayari kuanzisha mahusiano yenye lengo la kuoana, alie tayari kuanza maisha ya chini, mwenye sifa zifuatazo
-Awe na hofu ya Mungu
-Asiwe mlevi (kama mywaji iwe kidogo)
-Asie mvivu (mpambanaji)
- Umri asizid miaka 32
-Dini yyte (mm ni mkristo)
Plz ani dm au anitumie email kupitia @salumjohn296@gmail.com