Tukio liñalolalamikiwa kuzaa goli la Simba

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Mwenzangu unaonaje?
Your browser is not able to display this video.
 
Tafuta ela bloo utaacha haya makasiriko
 
Cha ajabu uto hawazungumzii penati aliyonyimwa simba na zile kadi mbili nyekundu zilizozimwa kwa makusudi na refa wa ajana aliye kwenye orodha ya malipo ya jiesiemu
 
Cha ajabu uto hawazungumzii penati aliyonyimwa simba na zile kadi mbili nyekundu zilizozimwa kwa makusudi na refa wa ajana aliye kwenye orodha ya malipo ya jiesiemu
Ila hii hii hela ya GSM inaharibu sana mpira wetu
 
Hata quality ya hizi camera zinatia shaka kweli au uwanja ni mchafu na camera chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…