Habari wakuu
Wananchi wa Tanzania wameguswana sana na kifo cha Sultan Qaboos bin Al Said,Pia viongozi wametoa pole katika mitandao ya kijamii na wakati akiumwa wananchi wengi walimuombea apone . Hata leo wengi bado wameweka status zakumkumbuka
Ukizingatia uhusiano mzuri na historia pana tuliyonayo na Oman
Wakati umefika kutumia methali ya kiswahili ya yaliyopita si ndwele tugange ya yajayo na yajayo hayawezi kuja bila kutibu vidonda vya zamani
Hivyo ikiwezekana kuwasiliana na Sultan Jamshid Al Said anayeishi Portsmouth nchini Uingereza akiwa ana umri wa miaka 90. Huyu ndiye Sultan wa mwisho wa Zanzibar aliyeondoka tarehe 12.1.1964
Katika utawala wao mengi yalitokea pia katika mapinduzi mengi yalitokea ikiwezekana mwaka kesho Mungu akimpa uhai aalikwe sherehe za Mapinduzi. Lengo ni kujenga maelewano na maridhiano na kusameheana kama wallivyofanya Afrika kusini hii itasidia maridhiano na kupatana. Hii itazidisha udugu wa Wazanzibari na nchi itasonga mbele kwani hamna nchi isiyo na makovu ya kihistoria muhim kujenga umoja
Nawakilisha