britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tumetegemea sana vijana na wakaimu kuyarithi madaraka kwa kufuata taratibu na sheria zote,
Je wanaotegemewa wanaweza kazi za mabosi wao?
Kwa bahati isiyo nzuri Madaraka yenyewe ndo yanawaendesha wanaorithi,
Tukichagua msaidizi tuwe sure kwamba ataweza kusimamia Majukumu sawa na boss wake kama kasafiri au kaondoka kabisa.
Mategemeo yetu ilikuwa vijana kama
1.Mtatiro
2.Mwigulu Nchemba
3.Pole pole
4.Katambi
5.Waitara
6.Nape Nnauye
7.Mrisho Gambo
8.Makonda
9.Hapi Ally
Wawe ndo waleta hoja za kutetea nchi bila chembe ya uoga, na kujipendekeza,
Lakin wameyakwaa madaraka yakawatoa ufahamu
Kwa kifupi sioni kijana wa kuleta hoja bila kujipendekeza kwa rais katika vijana niliowataja,
Hakuna mtu anaweza tofautiana na rais kwa hoja na kupambana kwa hoja, au kuleta hoja mbadala, woote wamekuwa vibaraka kuyalinda madaraka hata Makamu wa Rais Mwenyewe si Mzuri kivile hatujapata kumpima kwa utendaji wowote zaidi sana Kwenye Bunge la Katiba,Kwa Mujibu wa Katiba yetu hii hii mbovu ikatokea muanguka anguka ovyo akaanguka kabisa je huyu mama atayarithi madaraka makubwa na kuipeleka nchi?
Madaraka yanawarithi wasaidizi badala ya wasaidizi kuyarithi madaraka ..
Mungu anawaona