Tukipata hela kipi tufanye kipaumbele cha kwanza katika maisha

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Je pindi upatapo hela kipi ni kipaumbele cha muhimu.

Kununua gari?

Kununua kiwanja?

Kuoa/kuolewa?

Kusaidia ndugu?

Kumwagilia moyo?
 
Je pindi upatapo hela kipi ni kipaumbele cha muhimu.

Kununua gari ?

Kununua kiwanja?

Kuoa/kuolewa?

Kusaidia ndugu?

Kumwagilia moyo?
1. Katoe fungus la kumi
2. Katoe mapimbuko
3. Katoe sadaka ya shukrani
4. Kapande mbegu miguuni kwa nabii
5. Changia shughuli za ujenzi wa kanisa.

Au unaonaje mazee, hivyo vikiwa vipaumbele vyako lazima utusue. (. ❛ ᴗ ❛.)(•‿•)◉‿◉。◕‿◕。
 
Je pindi upatapo hela kipi ni kipaumbele cha muhimu.

Kununua gari ?

Kununua kiwanja?

Kuoa/kuolewa?

Kusaidia ndugu?

Kumwagilia moyo?
Cha msingi ni kuchakata mbususu kwanza mpaka moyo uridhike then pesa inayobaki kula bia na nyama.
Duniani hatukuja kujenga tunapita tu
 
Hapo umesahau kuchangia ununuzi wa gari la baba mchungaji.
 
Kuna 'Equity' Na 'Equality' .

Vipaumbele huwa Havifanani Kutoka MTU Mmoja Kwenda Mwingine..! Sababu Ya 'Equity' iliyopo.
 
Je pindi upatapo hela kipi ni kipaumbele cha muhimu.

Kununua gari ?

Kununua kiwanja?

Kuoa/kuolewa?

Kusaidia ndugu?

Kumwagilia moyo?
Tukipata pesa wewe na nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…