Kitu cha Kushangaza Kwanini Wananchi Tunawalipa Wafanyakazi wa TBC na Daily News? Watanzania Tunajua Hivi Vyombo ni Mdomo wa CCM Kwanini CCM Isiwalipe? Sisiem Si Wana Mnamiradi Yenu? Wananchi Tunajua Bajeti ya TBC na Daily News na Waandishi Wengine wa Serikali? Vyombo vya Habari Tanzania Hasa Vinavyomilikiwa na Serikali Vinatakiwa Kuchangia Habari Ili Kujenga Balance Katika Society. Kinachoonekana Hivi Vyombo Vinafanya Kazi ya Sisiem Tanzania na Hatuna Haja Navyo. Kwa Upande Mwingine Tunawaonea Huruma Hawa Wafanyakazi Wanaojikuta Kuongozwa na CCM Badala ya Kuijenga Tanzania Kupitia Masomo Yao ya Uandishi wa Habari, Poleni Sana. Katiba Mpya ya Tanzania Haitaruhusu Chombo cha Habari cha Wananchi Kuwakilisha Chama Kimoja Kamwe. Haya Ndio Maafa ya CCM Katika Vyombo vya Habari.
"Mwisho wa CCM Sio 2015 Ila ni Miezi Tu Imebaki. Wapenda Nchi Fanyeni Kazi Kufichua Dhambi Katika Uchaguzi"
"Mwisho wa CCM Sio 2015 Ila ni Miezi Tu Imebaki. Wapenda Nchi Fanyeni Kazi Kufichua Dhambi Katika Uchaguzi"