Tukisema Kenya ni masikini, ni kweli ni masikini

Tukisema Kenya ni masikini, ni kweli ni masikini

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Kenya inatamba kuhodhi uchumi wa East Africa. Kenya inatamba kukusanya pesa nyingi sana na wanadai bajeti yao ni mara mbili ya Tanzania. Lakini wanashindwa kulipa mishahara watumishi, ni failed state indeed.

Sasa kituko ni hiki hapa. Kampuni ya startime ya Kenya, imeingia mkataba wa kuonesha mechi za ligi kuu na daraja la kwanza. Thamani ya mkataba wa miaka 7, ni bilion 2.5 za kitanzania yaani sawa na Ksh 119milioni. Huu ni umaskini uliotopea.

Azam media amepata haki ya kurusha matangazo ya VPL kwa miaka mitano tu, thamani ya mkataba huo ni bilion 20+ za kitanzania. Sasa Kenya mnafanya nini huko? Ndio maana wachezaji wanaokuja kwenu ni reject ya Tanzania

Screenshot_20200929-225808.jpg
Screenshot_20200929-225844.jpg
 
Back
Top Bottom