Blatter ndo nani FIFA kwa sasawatu wanataka mess acheze angalau miezi miwili tu EPL ndio tutapata majibu kwamba uwezo wake upo vipi lakini seif blatter anakaa na wala rushwa wenzie nike,adidas,puma mtangazeni huyo wapi hiyo SAINT GAUCHO AMEANZIA PALE BRAZIL AKAJA PSG TO BARCA lakini huyu andunje kutoka tumboni tu barca hata NESTA hamjui
sio kweli,,EPL ni ligi maarufu tuu ila hakuna ligi mbovu km EPL kwa kuwa haina vipaji,,ina miaka mingapi haijatoa au kuingiza mchezaji kugombea balon d'o?Guardiola sio kocha mbovu ila kikosi ndio kibovu na ubaya zaidi ya timu za EPL kocha lazma awape priority wachezaji wazawa wkt hawana uwezo,,mfano angalia ela anayolipwa Rooney na kiwango chake,,je vinalingana?Spain itabaki kuwa bora kwa kuwa wachezaji wake wana vipaji na uwezo binafsiBinafsi sina budi kusema ligi ya Uingereza ndio kipimo sahihi cha wachezaji na Makocha duniani ni kama vile mitihani ya Darasa la 4 au form 2 ukiweza kufaulu basi umeingia darasa lingine ukifeli kurudia kunakuhusu.
Wamekuja Wachezaji wengi wakiwa bora kabisa kutoka ligi walizotoka ila wamefika pale UINGEREZA wamechemka vibaya sana kwa uchache wao kama vile ROBIHNO,MATEJA KEZMAN,SHEVCHENKO,JO,FALCAO,DI MARIA,PAULIHNO...NK
Na pia kwa sasa tunashuhudia kocha bora kabsa GUARDIOLA akilambishwa sakafu na baadhi ya timu za kawaida kabisa pale Uingereza ambapo kwa ligi alizotoka BUNDESLIGA NA LA LIGA msimu kama huu tiyari angekua ameshatangaza Ubingwa au kumwacha mpinzani wake kwa tofauti ya pointi kubwa sana ila kwa sasa mambo ni kinyume.
JE VIGEZO HIVYO NI HALALI KUSEMA LIGI YA UINGEREZA NI KIPIMO SAHIHI CHA MAKOCHA NA WACHEZAJI?
Ligi ya italia ni nzuri sana sema hapa katikati imeyumba kidogo na wanamakocha bora kbsa,Conte,Mancini,polli,Massimo,Na pia timu zake zimewahi kuwapata tabu sana vigogo wa soka kama vile,Madrid,Man utd,munchen ndo maana Conte hapati shida kufundisha Epl na pia Ana misimamo sanakocha au mchezaj atakaemudu lig ya epl m kwang ndio bora. mf konte kaweza ko anajua, ko costa, ibra nk wanajua pia
Pia Ngolo kante na mpiga shughuli sana baadhi ya wachezaji wengi wakienda Uk wanaendeleza Anasa zaid na kusahau majukumu yao mfano Depay,Pogba naye amepewa warning.Ligi ya italia ni nzuri sana sema hapa katikati imeyumba kidogo na wanamakocha bora kbsa,Conte,Mancini,polli,Massimo,Na pia timu zake zimewahi kuwapata tabu sana vigogo wa soka kama vile,Madrid,Man utd,munchen ndo maana Conte hapati shida kufundisha Epl na pia Ana misimamo sana
Hueleweki unazungumzia gurdiola au Rooney?sio kweli,,EPL ni ligi maarufu tuu ila hakuna ligi mbovu km EPL kwa kuwa haina vipaji,,ina miaka mingapi haijatoa au kuingiza mchezaji kugombea balon d'o?Guardiola sio kocha mbovu ila kikosi ndio kibovu na ubaya zaidi ya timu za EPL kocha lazma awape priority wachezaji wazawa wkt hawana uwezo,,mfano angalia ela anayolipwa Rooney na kiwango chake,,je vinalingana?Spain itabaki kuwa bora kwa kuwa wachezaji wake wana vipaji na uwezo binafsi
mtu kila akikukuta anapiga hattrick sijui anaongea nini huyoNaona umemsahau Messi kwa Arsenal ni nani?
Ndoto zingne hazihitaji tafsiri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbukumbu zangu zinaniambia sevilla alikula goli 7 na man city,madrid huwa anakimbzwa kabisa hapelekwi epl,na soon barce atakua haendi epl