Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

EPL ingekuwa kipimo basi wangekuwa wanabeba makombe yote nje ya league yao kwa bahati mbaya hata fainali team zao hazifiki

EPL ni league ya vita wao kwa wao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Karibia team zote zinauwezo sawa et hata Sunderland anaweza beba kombe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Ligi ya ajabu kabisa et Leicester City ndo mabingwa watetezi [emoji15] [emoji15] [emoji15] hii inapatikana tu EPL

Et Leicester ndo mshiriki CL akiwakilisha Manuu Chelsea na Liverpool haya ni maajabu yapo Epl


Ni league ambayo mchezaji aliyevunja record ya kusajiliwa yupo team ambayo haipo CL [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

EPL ni league pekee ambayo league zote zipo sawa tu yaani hata Championship kuna team ipo sawa au kuizidi Manuu uwezo na ikipanda daraja inaweza beba kombe [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]


EPL walitakiwa waanze kicheza sambi coz sifa zote wanazo za sambi
 
Mpira duara, anything can happen, natamani EPL na LA LIGA ziwe mixed japo for 3 seasons tuone, sio timu zinakutana UEFA katika miaka 10 mara moja afu unasema timu za huku nzuri kuliko za kule.
sasa kila mkikutana mnatandikwa nyie tu tena kwa aibu hata europa tu inawashinda
 
huyu pedro aliyokuwa anakaa bench huku anaonekana kama messi
okey unahis kinamchomshinda guardiola kupata mafanikio ni aina ya wachezaji alionao au aina ya mfumo anaotumia kuota mafanikio
 
Co mfumo sanchez alikuwa kwenye wakati mgumu mbele ya akina messi na villa ila angalia alipo tua arsenal c alikuwa free player ndani ya uwanja
 
Hata madrid wakicheza ligi ya uingereza watapigwa na wakina burnley tuuu
Wanaoshiriki EPL watakwambia ukweli tena usiwalinganishe na Madrid au Barca au A. Madrid bali Sevilla Malaga A.Club [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo zinatosha
 
messi akicheza na timu za epl ni aibu hata kuangalia huwa kama baba anacheza na watoto wake ni hattrick na matobo kwa kwenda mbele
kuna siku wilshere alikata umeme pale emirates,messi akawa yupoyupo tu kama kilinda mpunga,hafanyi lolote,wakala 2 licha ya kutangulia kwa 1
 
Wanaoshiriki EPL watakwambia ukweli tena usiwalinganishe na Madrid au Barca au A. Madrid bali Sevilla Malaga A.Club [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo zinatosha
kumbukumbu zangu zinaniambia sevilla alikula goli 7 na man city,madrid huwa anakimbzwa kabisa hapelekwi epl,na soon barce atakua haendi epl
 
Eti Leicester City ndo alibeba kombe!! EPL ligi ya kipumbavu sana.
 
Hata madrid wakicheza ligi ya uingereza watapigwa na wakina burnley tuuu
Ila Ligi atabeba. Usiifananishe Madrid na Barca na timu yoyote ile duniani kwa miaka hii ya karibuni.
 
Naona umemsahau Messi kwa Arsenal ni nani?
itakua umesahau wilshere alivokata umeme,xavi anadai hajawah kuwa outplayed kiasi kile maishan,wakpotea watu pale kati,yule kumbikumbi anakua bure afadhal ya giroud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…