MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kauli Jumuishi za Mashabiki wa Yanga SC kabla ya Kucheza Leo Mechi yao na Mbeya City FC
"Hakuna wa Kumzuia Yanga SC kwa sasa iwe katika Viwanja vibovu vya Mikoani au vizuri vya Dar es Salaam. Leo tunaenda Kuiacha zaidi Simba SC kwa Alama 10 na tukimfunga Mbeya City FC leo tayari tutakuwa na uhakika wa Ubingwa kwa 75%. Mbeya City FC akitoka Sare au akitufunga Yanga SC leo tunakunya kutoka Avic Town Kigamboni hadi Mo Arena Bunju. Y
anga SC hii ya sasa chini ya GSM haina Wachezaji wa kutoka Sare au Kufungwa na Mbeya City FC na hata Vilabu vingine vyote kwani tumejipanga na tunajitosheleza kwa kila Kitu na ndiyo Timu Tajiri Tanzania nzima"
Kauli Jumuishi ya Mashabiki wa Yanga SC mara baada ya kutoka Sare na Mbeya City FC Leo
"Mpira una Matokeo matatu Kushinda, Kufungwa na Kutoka Sare. Kama Mtani alifungwa na hawa hawa Mbeya City FC unadhani Sisi Yanga SC kutoka nao hii Sare tusimshukuru Mungu? Wachezaji wetu wametuangusha sana halafu tunauomba Uongozi uwe Wakali kwa Wachezaji kwani wengi wao huwa tunakutana nao katika Majumba ya Starehe.
Tayari zile Ndoto zetu za kuwa Mabingwa zinaanza Kufifia kwani kwa Simba SC na hivi walivyojipanga hizi Alama 8 wanaweza Kuzifikia na Kutuacha mwishoni tukabaki Kuchapana Bakora wenyewe kwa wenyewe"
Wana Yanga SC wahini mkatibiwe Akili.