Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

Tukisema ndani ya CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA kuna mfumo unaonufaisha wachache na CCM, tunakosea?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Binafsi ninaweza nisiwe mwanasiasa mzuri lakini nionavyo mimi ni kwamba ACT na CHADEMA wananufaika na uwepo wa CCM, na CCM wananufaika na uwepo wa hawa ACT, CHADEMA.

Sasa kwa mfumo kama huu inamaana CCM itaendelea kuwepo madarakani kwa miaka mingine mingi

Sikatai kama huku CHADEMA na ACT hakuna wazalendo lakini wakiwa ndani ya Mfumo si kitu

Kama kupata mabadiliko, tunahitaji mabadiliko kiuongozi katika hivi vyama au tupate Chama kipya au tukipe nguvu chama kingine.

Je, tukisema mnufaika mkuu wa ACT na CHADEMA ni CCM na sio wananchi, tunakosea?
 
Back
Top Bottom