Tukitaka Timu ya Taifa kufika kimataifa tujifunze kwa Brazil

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Timu ya Taifa Tanzania imekuwa ikitumia nguvu kubwa mpaka miaka ya nyuma na mkuu wa mkoa kipindi cha Makonda.

Nguvu hizi sio msaada bali ni kupoteza muda kama kawaida yetu nchi hii.

Mtindo unaotumika kuchukua wachezaji ni mbovu sana na kupelekea hata mpira wa hapa ndani kuwa wa kubaguana.

Tuna vipaji vingi na ambavyo hata ukisema washindane na timu ya taifa basi itachezea magoli tu .

Suala linalofanya timu ya taifa kuwa mbovu nakupa mfano Uingereza tu !.linapokuja ni kutokana na wachezaji washatambua kuwa nafasi ya kuchezea taifa anayo na ili upelekea kuwa na mpira mbovu.

Kwa wenzetu Brazili mpaka kufikia kuchezea timu ya Taifa ni kazi kweli haijalishi hupo club gani na kila mchezaji aliyepo Brazili hufanya juu chini kuonesha kipaji chake.

Cha kuchekesha miaka ya nyuma mfano goli kipa wa Taifa ni Kaseja tu nenda rudi
 
Tafuta pesa Kwa ajili y familia yako
 
Mzee wetu wa wingereza unazingua! Haiwezekani utuletee maneno mengi kwenye andiko lako! Halafu hujataja hata njia moja tu kutoka kwa hao Wabrazil wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…