Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Wasalaam.
Dunia inajiendea katika mifumo iliyoandaliwa. Hili swala la Ushoga lililopamba moto kwa sasa ni matokeo ya Ufeminist ulioratibiwa hapo kabla.
Ufeminist ni mfumo wa kuwatetea wanawake wajione wapo sawa na wanaume katika kila nyanja katika jamii. Na jumuiya za kimataifa zimewekeza nguvu nyingi katika kuhakikisha na kuiaminisha jamii kuwa wanawake na wanaume wanalingana.
Na katika hilo, jamii imetoa vipaumbele na upendeleo wa wazi kwa jinsia ya ke. Mambo yao mengi yamerahisishwa na imegeuka kuwa kandamizi kwa wanaume. Thamani ya mwanaume inatekezwa kwa makusudi kwa malengo maalum.
Ushoga ni hali ya mwanaume kutaka kuwa mwanamke. Iwe katika mapenzi, uvaaji na haki. Ushoga na usagaji ni chukizo kwa Mwenyenzi Mungu. Wanaume sasa wanatamani kuwa wanawake ili wapate vipaumbele jumuishi sawa na wapatavyo wanawake.
Taasisi za kutetea mashoga na aina nyingine ya watu wanaofanana nao zimetapakaa kila sehemu. Na bahati nzuri, taasisi zinazotetea Ufeminist zinafanya kazi hizo hizo za kutetea Ushoga.
Hii yote inatokana na jamii kukubali kuwa wanawake wanapaswa kuwa superior kuliko wanaume aua hata kukaribiana kulingana. Vitabu vitakatifu vinaeleza bayana kuwa mwanaume ameumbwa ili kuwa kiongozi katika familia. Na kama kuna kiongozi basi mwanamke anapaswa kuwa msaidizi kwa mwanaume. Kumlazimisha mwanamke awe kiongozi ni kumlazimisha mwanaume aenende katika namna ya kiuanawake. Jamii inayolelewa kikike hukua na kuwa jamii ya hovyo ya kikike pia.
Ukitazama katika nchi ambazo ufeminist haupewi nafasi basi hata kiwango cha ushoga ni kidogo mno. Chukulia mfano Afaghanistan na Saudia.
Tuutokomeze ufeministi ili Ushoga utokomee. Vinginevyo ni sawa na kuchotea maji kwenye mfuko uliotoboka.