Tukitaka tume makini na zakuaminika

Tukitaka tume makini na zakuaminika

Joined
Mar 22, 2011
Posts
35
Reaction score
9
Napenda nitoe maoni yangu hapa na tujadili
1.Tume zipitishwe na Bunge
2.Tume ya uchaguzi iteuliwe na Bunge kuepusha kupendelea chama fulani au kulinda watu fulani
3.Tume ya katiba iteuliwe na Bunge
4.Tume ya katika ifikirie kuwepo kwa wagombea binafsi kuanzia
Ngazi za mitaa
5.Viti maalum vipunguzwe vibaki tu vya Makundi maalumu
6.Tume ya katiba iondoe jina Mheshimiwa libaki
Kuwa Ndugu
 
Mi nadhani, watu waombe kazi kama wanavyoomba kazi nyingine na interview ya ukweli fanyike katika tume yoyote
 
Back
Top Bottom