kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,239 Jul 13, 2015 #1 Hii inchi tutagawana keki ya taifa. Hawa wasomi kwa uchambuzi wao wa mambo mbali mbali hasa ya kisiasa huwa nawakubali sana. Wasomi wasio weka njaa mbele kabisa
Hii inchi tutagawana keki ya taifa. Hawa wasomi kwa uchambuzi wao wa mambo mbali mbali hasa ya kisiasa huwa nawakubali sana. Wasomi wasio weka njaa mbele kabisa
Ngodaz Senior Member Joined Mar 13, 2014 Posts 120 Reaction score 113 Jul 13, 2015 #2 Hao wasomi kazi zau kutufundishia watoto wetu kule university nasio kuongoza nchi umeeelewa