Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Habari za leo wajuba,
Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti.
Sijui kwa nini this platform seems intimidating kwa Watanzania wengi. Maana mitandao mingine tupo wengi tu.
Au point zetu ni zilezile;
-Language barrier
-Poor education
-Disunity
-Lack of role models
- Sababu zingine kaka yangu Edwin atanisaidia.
Nionavyo mimi, njia pekee ya kutoka 'career wise' ni kutengeneza jina online.
Sioni platform nzuri kufanya hivyo as a professional kama LinkedIn. Kama unaweza kutoka kupitia Twitter yetu ambayo ni chaotic and often toxic, sawa. Au kule Insta if it works for you.
Vijana wa Kitanzania tunahitaji kuwa na linguistic capacity ya kushiriki mazungumzo mtandaoni, au kuanzisha mazungumzo mtandaoni, ambayo yatapelekea aidha kupewa kazi, kushirikishwa kwenye project au kukuza biashara zetu binafsi.
Siku hizi haitoshi tu ku-graduate, bali uwezo wako kutumia mitandao kutaarifu na kushawishi audience husika wakuone kuwa wewe ndiye unafaa kupewa fursa fulani.