Kama mmojawapo kati ya simba , yanga na TFF angekuwa na akili za kutosha haya yasingetokea.
Simba:
Hata kama kanuni zinaruhusu kufanya mazoezi kwenye huo uwanja ila hakukuwa na sababu yenye mantiki kufanya mazoezi kwenye huo uwanja. Mna uwanja wenu wa mazoezi wa siku zote , sasa kipi cha maana kiwapeleke kwenye uwanja wa mechi mkafanye mazoezi?
Yanga:
Hata kama simba hawakutoa taarifa mapema ya kufanya mazoezi, kwa nini muweke watu wa kuwazuia kufanya mazoezi? Mshaifunga simba mara nne mfululizo , kipi cha ajabu kwenye hii mechi nyingine? huo uchawi kama unasaidia na upo kwa nini simba walifungwa mara nne mfululizo na mechi zingine wakiwa wenyeji.Ni ushamba tu na ujinga.
TFF:
Mnazidiwa nguvu na haya matimu mawili makubwa jinga. Mngekuwa na msimamo mkali haya yasingekuwa yanatokea mara kwa mara.