ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Inter kachapwa 2-1 nyumbani kirahisi na Barcelona iliyojaa watoto katika sehemu kubwa ya mchezo wa leo UEFA. Inter sasa kapigwa ndani nje na Barca.
Hapohapo leo ilikua mechi muhimu sana kwa Inter kushinda ili avuke round inayofuata, tunaelezwa Inter ndiyo timu inayokimbiza kwa sasa kule Italy na wanaongoza ligi yao Serie A.
Valencia kamtoa bingwa wa Uholanzi Ajax Amsterdam; Barca tumevuka kitambo, Liver naye kapita wacha tukutane naye mara hii tumuaibishe huyo anayeongoza ligi ya Uingereza, hapo tutahitimisha ile hoja ya La liga ndiyo mambo yote!