ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Umeibukia huku baada ya kufungwa na EvertonAnsu Fati is on [emoji91][emoji91]
Umeibukia huku baada ya kufungwa na Everton
Dharau ilituponza hili kila mtu analijua na ndio maana yale matokeo watu wengi hawakuamini walichokiona ukiwemo weweUnazungumzia Liver iliyowanyoosha msimu uliopita mkiwa na 3 - 0 first leg advantage?
Shida iko kwenye majority ya wa tz wengi kuujua mpira...watu wengi wameweka ushabiki mbele...ndio maana hata idadi yawafuatiliaji wa VPL ni wengi mno kuliko wengine tufuatiliao mipira ya kueleweka!Ligi bora hapa kwenye keyboard lakini hakuna hata kibanda umiza chochote mtaani kinachoguswa kuonesha hizo mechi? [emoji28]
Binafsi me sio shabiki wa Liverpool but I have a great respect for this club just for one reason, they have never lost their DNA (fighting spirit without giving up).Dharau ilituponza hili kila mtu analijua na ndio maana yale matokeo watu wengi hawakuamini walichokiona ukiwemo wewe
Kwani kuna timu yoyote ya EPL haijavuka next stage?? Mbona unaropoka hivyo??
Hapo hutawaona, wanadhani ligi bora ni kuonyeshwa kwenye vibanda umiza. Wanasahau hata VPL inaonyeshwa vibanda umiza lakini huwezi ukaiita ni ligi boraukitaka uijue ligi bora uliza haya maswali uone watakavyokukimbia..
1) Tangia kuanza kwa karne mpya ya 21(ukitaja nyuma ya hapo utawaonea) klabu kutoka E.P.L zimechukua champions league mara ngapi !?
2) Kuanza kuanza kwa karne ya 21 klabu kutoka spain zimechukua champions league mara ngapi !?
Baada ya hapo utafahamu nani bora na nani maruufu !!
Sent using Jamii Forums mobile app