Tukizubaa Azam wanachukua Kombe la ligi msimu huu

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu naona ni vyema sana maana ndiyo inakuwa ligi bora.
Ligi inakuwa kama Hispania bana asipochukua Barcelona basi Madrid.
Ikiwezekana hata Ihefu naye achukue kombe
 
Sisi kolokwinyoz tumesaidiwa na mbeleko yetu tff tumewahepa azam hadi January huko maspidi yao yatakuwa yemepungua labda tutabahatisha hata droo
 
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajiongelea ww,huyu round ya pili anagongwa vizuri tu na Yanga,labda ww uliye omba mechi yako isogezwe.
 
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda msimu ujao
Azam bado ni ile ile tofauti ni kwamba ya msimu huu imechangamka kidogo
 
Ligi imekuwa ngumu,kwa timu 3 za kwenye msimamo mpaka sasa ukidraw au kupoteza mechi kazi unayo.

Tusishangae Azam kufunga vigogo wawili au draw na kuchukua NBC

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo utazubaa na atakugonga kweli si utani, yanga keshamalizana nae atamsubili round ya pili na atakanyagwa vile vile, Tatizo lipo kwenu na timu yenu ya kuungaunga kikombe Cha Azam amtokiepuka mtachezea za kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…