Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

Tuko mitaani na Wabunge wa CCM waliomaliza Vikao vya Bunge Dodoma ila hawataki kuongelea Mkataba wa DP World

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.

Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira, sasa hao wazee Kweli Ddio tengemeo la CCM?

Dr. Philip Mpango na Mama wamepiga kimya!
 
Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini .
Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao , yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisaa.
Ila CCM mkoa na wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.

Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani??

Mitandaoni Ana onekana Kinana na Wasira sasa hao wazee Kweli Ndio tengemeo la CCM?

Dr Philip Mpango na Maza wamepiga kimya !!!

Hii ishu si rahisi kama inavyoonekana
 
Mwambie awaelezee kwa mbwembwe na vigelegele kama walivyofanya kule bungeni siku ile.
 
Back
Top Bottom