Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini .
Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao , yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisaa.
Ila CCM mkoa na wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.
Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani??
Mitandaoni Ana onekana Kinana na Wasira sasa hao wazee Kweli Ndio tengemeo la CCM?
Dr Philip Mpango na Maza wamepiga kimya !!!