Tukubali amapiano tayari imetuzidi ujanja

Tukubali amapiano tayari imetuzidi ujanja

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu

Tangu muziki huu ulipoanza kusikika nchini kutokea huko south Africa.

Sasa imekuwa fashion kila wimbo unaotoka basi jua ni amapiano tu na tumezoea imekuwa kawaida kabisa.!

Mpaka wazee nao wanaruka amapiano.! Unabisha? Nenda mpaka kwenye sherehe wanapiga na wazee wanaruka tu!

Tusiwalaumu wasanii wetu kufuata hiyo trending..
siku hizi mpaka jux anaimba amapiano, akiimba nyimbo zake za rnb ile ile atapata show wapi? Si mnaona siku hizi kila show wanataka Uwe na amapiano?

Sasa unadhani nani anataka kufa na njaa? Fid q kama kaleft group unadhani nani abaki?

Tukubali wasauzi wametuzidi kete hapa hatuna jinsi japo muziki wenyewe unaamsha popo lakini mashairi ni uwe na sauti tu basi yaani ile ..
"popopoolalala tantalalalal, ashiiii" then tayari goma linaachiwa watu wanaruka.

Tusilaumiane hapo ..
 
Back
Top Bottom