chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Watu wanasema hata umri unavyozidi kuongezeka na ufanisi unapungua.
Kwa aina hii nimekaa kusikiliza mada nyingi, maoni ya watu, wachambuzi na media nyingi.
Wimbi kubwa linaeleza sana kama kichwa cha habari nilivyosema.
Turudie miaka iliyopita kwenye swala la uchaguzi? Hii inaonesha mfano tosha kama kichwa cha habari.
Sidhani kama watadumu kwa huu ufanisi wao ambao hutuliza watu kwa vyombo vya dola.
vyombo vya dola ndio imekuwa kingio lao kwa sasa na huko tunapoelekea watakuja kuweka jeshi sasa ili kuwa ngao yao.
Ila wanashindwa wataingia vipi! Kama polisi, usalama na sehemu zote wamepandikiza watu wao.
Basi hii ni hatari na kusababisha mageuzi ambayo kama tunaendelea hivi.
Maoni yangu na fikra zangu