chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 43
ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya oral na jamaa english utata alivyorudi toka kwa babu akanambia nimeshapata kazi hata nicpoenda kesho yake tunaenda kwenye interview tumeitwa wote tumefanya usaili mpaka tunamaliza jamaa hajaitwa akamfuata secretary kumuuliza akamuonyesha cv yake ipo kwa waliofanya usaili baada ya siku 3 kapgiwa cm kala shavu,nikamkumbuka mandojo na domokaya tunaweza kulia na mola kumbe wanga nao wana mix
nalo nenoHuu ni uongo mtupu, kama hivyo jamaa anatafuta kazi ya nini? si aende kwa babu akute akaunti zake zote zimejazwa pesa benki? MUONGO MKUBWA WEWE, LO!
Huu ni uongo mtupu, kama hivyo jamaa anatafuta kazi ya nini? si aende kwa babu akute akaunti zake zote zimejazwa pesa benki? MUONGO MKUBWA WEWE, LO!
Jaman uchawi upo sio kisa umesoma ndo useme uchawi hamna dini zenyewe zinakubali uchawi upo. Then si mnamkumbuka Chenge alichofanya nae ni msomi wa Havard...
hata kama mtu unaenda kwa wazee lazima vigezo uwe navyo anakusaidia kwenye competition wenzetu wanaletwa na baba zao na vi memo uswahilini wanapga mawe kwenda mbele mpaka mtu anamsahau mwanae ww unafikiri mtu anaeenda kwa mganga na ww unaeenda kwa mchungaji anaetoa misukule wanatofauti gani wote wanatumia nguvu za giza au sababu yule anavaa suti?Huu ni uongo mtupu, kama hivyo jamaa anatafuta kazi ya nini? si aende kwa babu akute akaunti zake zote zimejazwa pesa benki? MUONGO MKUBWA WEWE, LO!
Na inabidi arudi kwa babu kila baada ya muda gani ili ku-maintain kazi? Manake report kwa wafadhili hazidanganyi atii
unatakiwa kujua kuwa, waganga na wachawi etc wapo, na uchawi unafanya kazi kabisa, nimeshuhudia...lakini una garama yake, unaweza kufurahia kwa muda, muda wa majonzi utajuta kwanini ulilianzisha......garama yake ni ngumu sana. kuna jamaa mmoja alikuwa polisi, yeye alikuwa kiboko kupambana na majambazi, ukimpiga risasi haiiingii, nimeshuhudia watu wengi tu majambazi unapiga risasi inadunda kabisa mchana kweupeee, kuna mganga wao alikuwa kibondo...kwa wale wa kigoma etc na rwanda/burundi wanajua haya mambo sana....lakini masharti yake, ndo unakuta ni kulala ma mama yako mzazi, binti yako, kula maviii, kulala ma vitoto vidogo ndo ubakaji unaambiwa mtu kabaka katoto ka miaka miwili etc.....na kweli ukifanya hivyo unafanikiwa, na ukishindwa unakufa au unakuwa chizi etc, na kuna wakati sasa mganga wako akifa ndo unabaki na mzigo wa ajabu hutajua hata kwa kupeleka.....
hivi mtu mwenye akili timamu kabisa anaweza kufanya mapenzi na katoto ka miaka miwili, mitatu hata sana na kumi etc, wengine wanabaka katoto ka mwezi mmoja...kama si ushirikina unafkiri itakuwa ni nini? wengi wa wanaofanya hivyo, wakifanyiwa interrogation yaani kipigo cha polisi huwa wanaelekeza hadi mganga yupi alisema wakafanye hivyo.Upo uwezekano yule mjamaa aliyelala na katoto ka miaka 9 alitumwa na mganga eeh?!
Ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya oral na jamaa english utata.
Alivyorudi toka kwa babu akanambia nimeshapata kazi hata nicpoenda kesho yake tunaenda kwenye interview tumeitwa wote tumefanya usaili mpaka tunamaliza jamaa hajaitwa akamfuata secretary kumuuliza akamuonyesha cv yake ipo kwa waliofanya usaili baada ya siku 3 kapgiwa cm kala shavu, nikamkumbuka mandojo na domokaya tunaweza kulia na mola kumbe wanga nao wana mix