Tukubali kupoteza Billion 20 tupate ushahidi

Tukubali kupoteza Billion 20 tupate ushahidi

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,896
Reaction score
5,305
Habari za majukumu Wana Jf na wazalendo wa kweli,Poleni kwa kupaza sauti kutaka kunusuru jasho letu kwenye kodi lisipotee huko dodoma,Narudia Poleni sana maana Mh.Sitta na kambi yake wamegoma Katu kusikiza na fedha ndio hizo zinapotea.

Wazo langu na ushauri,mpk sasa hizi hela ni kama zinaishia na dalili zote za kupata Katiba yenye maridhiano na kukubalika na Watanzania haipo,tumwacheni Sitta amalize alichokianza ili tupate ushahidi madhubuti wa kuhukumu hii CCM 2015,tupate maswali ya kuwauliza na hili tunajua fika ni kuwa hawatakuwa na majibu.

Nimesoma humu JF leo kuwa Mwigulu ameanza kushtuka na Nikweli Alianza kushtuka siku nyingi lkn sanaa ya CCM huwa siziamini zimebaki siku chache watoke kwenye vipaza sauti kama alivyosema Jaji Warioba,Nashauri tuwasubiri huku mtaani.
 
Back
Top Bottom