Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
amestaafu, mafao yake yatamtosha kama Filipo Mpango...Kama akiamua kurekodi makala mbali mbali na kuzirusha Yutubu afanyie akiwa nje ya nchi
Mkuu huyo mbona kuna taarifa kuwa yopo mirembeNa moto utawaka pale Yericko Nyerere atakapotangazwa kuwa makamu wa Rais
Amelazwa "big brothers house"/Milembe baada ya kupata hasara ya bamia zake hekari moja kuoza na kupata sonona.Mkuu huyo mbona kuna taarifa kuwa yopo mirembe
Hatuhitaji Katiba MpyaHili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
ukiona giza nene namna hiyo na alfajiri inakaribiaHili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Huaminiki tena!Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
😀Kwa hiyo unataka kuwaambia nini walionunua vitabu vyake na wengi wao tupo nao humu JFMkuu huyo mbona kuna taarifa kuwa yopo mirembe
Hili ni kweli...kwa muda mrefu watu wa Tanganyika hawakuhofia Zanzibar ..hadi Ile Oktoba 29...something changed...na hili la Nchimbi limeongezea tuSawasawa kabisa
Mwalimu aliunga hizi nchi mbili akitegemea "Free will" ya watu wenyewe, akadhani nia njema yatosha
Lakini katika muungano, unapoua nchi moja huku nyingine ukaliacha likiwa hai hata kama umelipunguzia nguvu, basi ujue loyalty ya watu wa nchi hiyo itakuwa divided.
Wale uliowabakishia nchi yao Wataipenda nchi yao ya asili kwanza halafu ile nyingine ya wote itakuja next. Wakati wale wengine ulioua nchi yao, wao masikini wanajua kuwa nchi yao ni moja!.
Hatuwezi kuwa na double loyalty ndani ya nchi halafu ukasema tu wamoja. Mwalimu hakuliona hili!
Labda udogo wa Zanzibar ulimpofusha akadhani haina uwezo wa kuitetemesha Tanganyika, akasahau kuwa nchi ni nchi, ukishaipa veto ya kinchi basi ukubwa wake au udogo wake si hoja tena.
Leo Tanganyika ni shamba la bibi, haina mtetezi, mali zake ni cha wote, hakuna wa kutetea au kulinda maslahi yake ndani ya muungano, wakati Zanzibar chao ni chao peke yao ila cha Tanganyika ni chao pia!
Tunaitaka Tanganyika yetu!
Mzee MwanakijijiHili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
kuna miwan myeusi mmoja mjed aliwahi niambi ima akitolewa tu kuna kundi litakiwasha maana hii itakuwa too much na wao na hilo kundi hawatokubali kamwe nikabet kuwa hakuna kitu kama hicho nikamwambia ima atatolewa na hakuna watakalofanya sasa nasubiri muda tulioahidiana upite aidha nile hela yake au ale yanguNa hiki ndicho kinachoenda kutokea