Leo ndio mnagundua hamna nchi?....hii kali.Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Hao jamaa ni snitch mpaka basi. Usiwaamini hata kidogo.kuna miwan myeusi mmoja mjed aliwahi niambi ima akitolewa tu kuna kundi litakiwasha maana hii itakuwa too much na wao na hilo kundi hawatokubali kamwe nikabet kuwa hakuna kitu kama hicho nikamwambia ima atatolewa na hakuna watakalofanya sasa nasubiri muda tulioahidiana upite aidha nile hela yake au ale yangu
Tokea enzi ya mwinyi wamekuwa uchochoro wa wafanyabiashara mafisadi papa kutajirika hovyo kabisa hawa watuHao jamaa ni snitch mpaka basi. Usiwaamini hata kidogo.
Hili ni la Watanganyika...Mzee Mwanakijiji
Nani wa kuchukua hatua?
Wenye jukumu la kulinda Katiba (JWTZ) wameamua kujishikamanisha tena kwa kiapo na CCM
Tusubiri Malaika kutoka Mbinguni watusaidie
Ifike hatua mamlaka ya Nchi yarudi kwa wenye NchiHili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Tuliosalia tulipunyuliwa-punyuliwa na shaba kipindi polisi na jeshi wanapundua nchi kumuweka Samia na Nchimbi madarakaniHili ni la Watanganyika...
Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Samahani mkuu,Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Kwanini haaminiki!Huaminiki tena!
Upo sahihi mkuu. But its too late Tanganyika is no more Kama Inatetemeshwa miti mibichi sisi mikavu je?Hili ni kweli...kwa muda mrefu watu wa Tanganyika hawakuhofia Zanzibar ..hadi Ile Oktoba 29...something changed...na hili la Nchimbi limeongezea tu
Amekuwa kama mjane😂 inasikitishaMasikini Tanganyika
Kuna mdau kauliza, Damian ni nani?Hili ni la Watanganyika...
Tetesi zinasema haruhusiwi kwenda nje ya nchi ni kama house arrest flaniKama akiamua kurekodi makala mbali mbali na kuzirusha Yutubu afanyie akiwa nje ya nchi