Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

Tulisha kosa akili tangu mwanzo kitendo tu cha kutoa nafasi kubwa kama umakamu wa Raisi kwa wazanzibar tayari ilitengeneza STRATEGIC MOVES to take over.
 
Unaleta story zile zile za maccm... we unavyoiona chadema ya sasa inekaa kidalali??
Tena uache uchawa na uzwazwa kunitajia kina mbowe na salum mwalim yale mapandikizi yenu mliyowapa kazi maalumu chadema...
Sasa mpambania haki na demokrasia kashika uskani lazima uharishe
 
kubishana Takataka kama wewe ni kupoteza energy muda wangu kichwa chako kimekalili Chadema ndio Malaika sana
na unaposema Mbowe ni pandikizi la ccm unajua hata kwamba muanzilishi wa Chadema ni Mkwe wa Mbowe sasa wewe Chawa wa Chadema utajilinganisha na Mbowe leo umuite pandikizi wa ccm
kama yeye ni pandikizi basi hata chadema ilianzishwa kwa maslahi ya ccm
 
Hili swala sio la chadema kuna wengine hatuna chama ila tunataka Leadership bora ima iwe Chadema au CCM usiingize uchadema wako hapa
upo sawa lakin swal ni unautaka uleadership bora toka wapi? Lini mgombea wa kujitegemea amesimama kugombea hata uenyekiti wa mtaa bongo hii? Katiba mmeandikiwa kiswahili lakn hamruhusiwi kusoma kisa katiba ni kama haitaki watu wasome.
Tunafumbwa ili tusahau na wewe unakubali tu.
MAOMBI YAMESHAFIKA YANAKOFIKA TUSUBIRI MATOKEO TU.
 
Iwe Chadema ama CCM, CCm bado ina watu wazuri tu pia chadema wapo wazuri pia

NB.Chadema ina viongozi wabinafsi pia kama ilivyo CCM hakuna Malaika katika chama chohote Tanzania
CCm pia tulisha pata viongozi wazuri pia hii ni kwa mtazo wangu
 
Tulisha kosa akili tangu mwanzo kitendo tu cha kutoa nafasi kubwa kama umakamu wa Raisi kwa wazanzibar tayari ilitengeneza STRATEGIC MOVES to take over.
siku mchonga alipotengeneza muungano huu wa hovyo ndiyo siku alipokosea mazima na kuiuza Tanganyika. Siku zote wazanzibar watakapopata nafasi ya urais wa Tanzania wataifilisi na kuua watanganyika kwa kiwango cha kutisha na sasa kuna shida imeshatengenezwa makamu yeyote ambaye ni mzenji siku zote wazenji wataombea raisi mtanganyika afe ili makam wao mzenji achukue Tanganyika wapate ifilisi maana washajionea kwa samia jinsi wanavyoneemeka. Mgogoro huu ushakuwa mkubwa maana samia lazima ateue makamu ambayo ni full urojo ili wazenji wazidi ifilisi tanganyika pasipo kelele na atateua mtu ambaye hata yeye samia akifa akiwa madarakani huyo makam wake akawa ndiye rais basi ataendelea kuwa msukule wa wazenj kwa 100%.
 
Iwe Chadema ama CCM, CCm bado ina watu wazuri tu pia chadema wapo wazuri pia

NB.Chadema ina viongozi wabinafsi pia kama ilivyo CCM hakuna Malaika katika chama chohote Tanzania
CCm pia tulisha pata viongozi wazuri pia hii ni kwa mtazo wangu
how old are you ndugu yangu na sio kwa ubaya.
 

Huu ndo ukweli mchungu
 
Hakika yaani
 
Wanajeshi wa bongo ni mashoga
mabakabaka wanauza nchi kwa kuhongwa saa za mkononi aisee takataka kabisa hawa watu. mabakabaka wanalinda waarab wanaoiba rasilimali za tanganyika tena wanawasindikiza kabisa airport. mabakabaka wamekabidhi nchi kwa mtoto gasho huku wanamlinda mama yake msagaji mjengoni wao wamebaki kukata mauno tu kipungapunga.
 
Ili iweje akishazirusha? Zibadilishe nini?

Ccm wanajua sana kucheza na akili za wapumbavu
ima atulie ale pensheni yake wala hana haja ya kuwapambani watanganyika aliyofanya yanatosha amesharisk sana maisha yake, ya familia yake na mali zake, watu wake kadhaa washauwawa na msagaji wa taifa. watanganyika inabidi wapitie kipindi kikali mnooooo cha msoto cha kuteswa na wazenji labda pengine watamkumbuka mama tanganyika na kumpambania.
 
Umri wangu si hoja; kama una hoja, ijibu. Kama huna, usijifiche nyuma ya ‘how old are you?
i dont argue with warthogs, ungejibu ningemwambia umuulize hata mzazi wako maana vyama vya siasa na sio kuja hapa na propaganda za ati bila chadema you can get a better leadership in politics. Hoja unajua wewe. Na bado hamjasema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…