Tukubali kuwaachia nchi watawale wapendavyo?

i dont argue with warthogs, ungejibu ningemwambia umuulize hata mzazi wako maana vyama vya siasa na sio kuja hapa na propaganda za ati bila chadema you can get a better leadership in politics. Hoja unajua wewe. Na bado hamjasema!
labda nikuulize wewe mzee Kuna jambo lipi kubwa la maana Chadema wamefamya kwa Tanzsnia?
 
Umetumia kichwa cha mada kibaya sana, pamoja na kwamba uliweka alama ya kuuliza liwe swali.

Hili swali lako ndilo lililozaa yaliyopo sasa hivi, kwa sababu lilikuwa limejaa vichwani mwao tokea mwanzo hata kabla ya Oktoba 29, ambayo ndiyo ilikuja kuwapa msukumo mpya wa kutaka hilo swali liwe ndiyo 'fact'.

WaTanzania walikataa, na wamekataa upumbavu huo.

Model ya M7 waliyoiazima Uganda, hapa haifanyi kazi.
 
Na watu badala ya ku discuss kwanini amejiuzulu wanaanza ku list down next expected vice president. Hii inchi inaliwa bila aibu.
 
Umejaribu sana; lakini siyo kweli kwamba Mwalimu alitegemea "ggod will"; ndiyo maana mambo ya muungano yalikuwa yameainishwa vizuri kabisa, na ndizo zilizokuwa zinairtwa "kero za Muungano" ambazo leo hii huzisikii kutoka upande huo; kwa nini?
Kwa sababu akina Kikwete waliamua kivtyao, na ukweli ni kwamba muungano ulianza kudhoofikia hapo walipoanza kutengeneza "nchi yao", ambayo haikuwepo Muungano ulipoasisiwa.

Jambo ambalo analoweza kulaumiwa Mwalimu Nyerere ni kutohisi kwamba kutakuwepo na viongozi wa aina ya Kikwete na huyu Samia.

Tatizo jingine ambalo Mwalimu hakuliona, akidhani kuwa CCM kama chama kimeimarika sana na kwamba hakiwezi kuyumbishwa.
Katika juhudi zake za kuwaunganisha waTanzania na kupunguza misuguano ya makundi mbalimbali kama dini; alifikiri kuwa kuwaweka BAKWATA ndani ya chama kungesaidia kupunguza misuguano ya kidini.
Ambalo hakulijuwa ni kuwa BAKWATA itakuja kuwa ndiyo inaiendesha CCM kama ilivyo sasa hivi
Hili ni kweli...kwa muda mrefu watu wa Tanganyika hawakuhofia Zanzibar ..hadi Ile Oktoba 29...something changed...na hili la Nchimbi limeongezea tu
Hapana.
Hilo si kweli kama nilivyolielezea hapo juu.

Pamoja na kwamba watu wanaogopa na hawapendi kuyazungumzia haya maswala waziwazi, lakini sasa ni muhimu yawekwe wazi ili matatizo yetu yafahamike yanakotokea.
Hii CCM tunayoizungumzia mara kwa mara, na kuilaumu kwa haya matatizo yanayotukumba sasa; tunajuwa ni CCM ya aina gani?
Ni ileile aliyoiacha Mwalimu au ni CCM nyingine kabisa ambayo imeachana siku nyingi na misingi yake ya mwanzo na kuchukua sura mpya?

Ukiniuliza mimi nitakwambia kwamba ni CCM (bandia) inayoendelea kutumia mfumo wake iliyokuwa nayo; kama vile kuwa na Jumuia mbalimbali ndani ya chama; lakini hasa hasa Vyombo vya Dola kuwa chini yake ambavyo inaendelea kuvitumia kuifanyia CCM Bandia.
Jumuia moja wapo ilikuwa ni BAKWATA, ambayo sasa ndiyo inayoshika hatamu, hata kama haijitangazi waziwazi
Na kwa bahati mbaya kabisa; hiyo hiyo BAKWATA ikaingiliwa na kundi hatari la watu baadhi yao waliokuwa Mkiru/Kibiti, Amboni Mapangoni na kwingineko.
Hawa wameona sasa hakuna sababu tena ya kwenda huko maporini iwapo kuna njia nzuri kupitia kwenye chama CCM; kwa mwamvuli wa BAKWATA; na Samia hawa ndiyo ngao yake kuu sasa ukiondoa hivyo vyombo vya dola. Sasa unawaona akina Mwaipopo waziwazi!

Sasa kama hatutaki kuyaelewa haya kwa kuogopa hata kuyagusia tu; hasa kwa wanachama wa CCM wenyewe; yatazidi kushamiri na kuzaa maafa kama ambavyo tayari tumekwisha shuhudia Oktoba.
 

Matatizo ya muungano huu yalianza toka day 1.
Mzee Karume alitaka kuuvunja, akawahiwa
Mzee Jumbe aliuhoji muungano huu wakamuwahi
Kudai eti tatizo ni Samia na Kikwete ni kujisahaulisha tulipotoka na muungano huu.
Wakati G55 wanadai serikali ya Tanganyika Samia sijui alikwa wapi wakati huo hata kwenye CCM hakuwa anajulikana
 
Hata mtoto akikua hubadilika sembese chadema kutoka chama pandikizi kuja kua chama halisi cha kupagania haki na demokrasia!

Bro/sister ukweli ni kwamba kwenye vyama vya siasa nchini Chadema ndio msingi wa demokrasia chama ambacho kumekufumbua akili hata wewe zumbukuku wa ccm kuelewa maana ya haki na utawala bora badala ya majungu, fitina na kujipendekeza kama njia ya utawala na kupata madaraka.

Note: kada mwenye aibu ukija kwangu nakupa za uso ila ukija mzima mzima kwakujitambulisha ntaheshimu ujinga wako sitobishana na wewe
 
Kwani huyo JK ndio Rais?
 
Hakuna namna nchi ishanyakuliwa wazee wetu wapumbavu sana
 
Watanganyika ni watu wapumbavu dunia nzima, sijui Mungu alikosea nini?
Yaani wakila wakashiba na kujamba wanaona kuwa watu wengine wote wanastahili kufa! Mimi najitanabaisha kuwa niko CCM lakini bado napiga kelele kila siku tummsapoti Lissu kwa anachokitetea kinatuhusu wote, Wengi wanajidanganya wako salama , hatutakuwa salama mpaka tuwe na uhuru wa kweli, hii nchi inamilikiwa na watu wachache, ndio maana wako tayari kutuuwa ili tu waendelee kusalia madarakani.
 
labda nikuulize wewe mzee Kuna jambo lipi kubwa la maana Chadema wamefamya kwa Tanzsnia?
Be specific, CHADEMA haijawahi kushika dola, lakini Wameisaidia hii nchi kwa kukosoa na kuvumbua maovu mbalimbali, unless kama wewe ni mgeni.
 
Achana na mpuuzi huyo. Hawa ndio walitaka wote tumzungushie mikono lowasa kisa tumeamriwa na mbowe, kila aliyekataa ujuha ule akaitwa msaliti.
 
nchi ya ******* sana yaani wanataka tu wakienda chooni uwasifie, wakijampa ufurahie, wakikutemea mate useme yes mheshimiwa. Demokrasia walishaifukia kitambo. Hata marekani ndo taifa baba lao lakin upinzan ina sauti ya kutosha. Nchi gani ukisema ukweli wewe ni mhaini? Washenzi sana na tutaendelea kutekwa na hatutafanya chochote. Mtu mzma na ndeke zake mbili anasema kabisa ati serikal ipo sawa. Mwingne na minyonyo ni kama ananyonyesha majambazi anashabikia ati wanawake wanaweza. Pumbavu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…