Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,689
- 6,484
Hata mlete minafano ya namna gani, sisi tunaitaka Chadema kwasababu inajua hitaji la kwanza kwa nchii hii... hitaji la kurekebisha mfumo (katiba), uongozi shindani kwa maendeleo na si uchama.True 💯 now wananchi wa Zambia hawamtaki
Huyo huyo kwakuongozwa na wanachamaMbowe huyu huyu ndo alikua anaweza kupigania mageuzi?
Wewe una macho na hauoni!, JK ndio Rais mwenyeweKwani huyo JK ndio Rais?
Mpaka sasa hivi Tanganyika Mwanaume ni mmoja tu Joseph Sinde Warioba, huyu peponi ataenda.nchi ya ******* sana yaani wanataka tu wakienda chooni uwasifie, wakijampa ufurahie, wakikutemea mate useme yes mheshimiwa. Demokrasia walishaifukia kitambo. Hata marekani ndo taifa baba lao lakin upinzan ina sauti ya kutosha. Nchi gani ukisema ukweli wewe ni mhaini? Washenzi sana na tutaendelea kutekwa na hatutafanya chochote. Mtu mzma na ndeke zake mbili anasema kabisa ati serikal ipo sawa. Mwingne na minyonyo ni kama ananyonyesha majambazi anashabikia ati wanawake wanaweza. Pumbavu zao.
Hakika JK ndio Rais, na yeye ndiye amemtoa Makamu kwa ajili ya mipango ya 2023, Embu fikiria hawa wote wawili wamefanya kazi chini yake kama kulikuwa na mgongano wa mawazo kwanini asiwakutanishe na kumaliza tofauti zao kama zipo?Wewe una macho na hauoni!, JK ndio Rais mwenyewe
Mzee Karume aliwahiwa na nani?Matatizo ya muungano huu yalianza toka day 1.
Mzee Karume alitaka kuuvunja, akawahiwa
Mzee Jumbe aliuhoji muungano huu wakamuwahi
Kudai eti tatizo ni Samia na Kikwete ni kujisahaulisha tulipotoka na muungano huu.
Wakati G55 wanadai serikali ya Tanganyika Samia sijui alikwa wapi wakati huo hata kwenye CCM hakuwa anajulikana
Na unajuwa ni nani anayeupenda na kufaidika na upumbavu huu?Scanning inaendelea, kwa ujinga uliojengeka ndani ya mfumo kwa miska mingi na kugeuka utamaduni, ni lazima Makamu awe Mkatoliki
Ndio hawawezi!Kwamba Watanzania hawawezi kuamua mustakabali wao.
Umeandika kwa uchungu na hisia kali na ukweli ni kwamba umeandika ambacho ni msimamo wa majority ya Watanganyika.Hili swali ni lazima tulipatie jibu. Nchimbi anaweza kufikishwa mahakamani..hawatamuacha "astaafu". Anaweza kuwa kizuizini asiondoke, asiseme na asikutane na watu anaowataka.
Damian analazimisha migogoro ya Kikatiba..alianza na Ndugai..Sasa Nchimbi..na anayekuja ni jaji yeyote wa Mahakama ya Rufani ambaye hatokaa kwenye staring.
Hatuhitaji Katiba Mpya
Hatuhitaji Maridhiano
Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Niliamini kwa miaka mingi Muungano wetu..niliamini katika kubeba asiyebebeka...
Imetosha...Tanganyika ni ya Watanganyika!!!
Tanganyika kwanza mengine baadaye.Tanganyika imepatwa na Samia, kivuli chake kimewapata Watanganyika.
As long as alijitabainisha hadharani kuwa nini ambacho angaliwaambia Watanzania ni kuipambania katiba mpya, basi itakuwa fursa muhimu kwake na wale wanaomuunga mkono kufanya hivyo sasa ili katiba mpya ipatikane.
Tanganyika kwanza mengine baadaye.
View attachment 3657487
Itawezekana vipi wakati imekamatiwa chini na watawala mafisadi/wauaji kutoka nchi nyingine wakisaidiwa na machawa/wahuni wazawa?Tunataka Tanganyika huru na yenye mamlaka Kamili!!!
Basi ni halali yao kubagazwa mpaka siku wapate akili.Ndio hawawezi!