Tukubali tu sasa CHADEMA imewekwa kiganjani na CCM

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Wanachezewa masharubu, hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa CCM, kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.

Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju, huo ndio ukweli, halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
 
Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.

CHADEMA wametumia approach ya Odinga. Kuna kipindi Odinga aliamua kukaa kimya kuikosoa serikali. Mbona wananchi wakaona umuhimu wake nakuanza kulalamika.

Malalamiko yaliyopo ni baada ya CHADEMA kukaa kimya. Wangekua wanaongea mngewadhihaki na kuwaita majina. Wamewaacha mnaanza kulalamika wameshikwa mdomo.
 
wawaulize ACT
 
Punguza unafiki. CHADEMA wakifanya harakati mnawaita chama Cha vurugu na wakikaa kimya, mnadai wamezibwa mdomo. Mnataka nini?. Mnazuia siasa na kuvuruga uchaguzi halafu bado mnapata ujasiri wa kusema CHADEMA wamezibwa mdomo.
 
Katiba Mpya italinda vyama vyote dhidi ya shinikizo la chama tawala na vyama vyote vitakuwa na haki sawa ya kufanya siasa za kujenga Taifa letu bila hofu kutoka chama kilichoshika hatamu!!!

Hata Chadema haitowekwa kapuni na CCM Kama uzi usemavyo!!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Mtoa hoja wewe umeifanyia nini nchi?,au ndio wale wale wa kuogopa hadi vivuli vyao?,acha kujificha nyuma ya key boards na ukunguru wako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukunguru hatari sana unamaana kwamba hiki ni kitenzi cha kila kitu twende.
 
Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Mkuu wewe ni mwajiriwa mpya au ni akili zako tu, ebu soma tena ulichoandika.
 
Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Umenena!! Mwenye macho haambiwi tazama !! Chukua chako mapema ndio mtindo wa Bongoland !! Wananchi bado tuna safari ndefu !! Ila tusikate tamaa !! Tusiposema sisi hata mawe yatasema !!
 
CHADEMA wametumia approach ya Odinga. Kuna kipindi Odinga aliamua kukaa kimya kuikosoa serikali. Mbona wananchi wakaona umuhimu wake nakuanza kulalamika.

Malalamiko yaliyopo ni baada ya CHADEMA kukaa kimya. Wangekua wanaongea mngewadhihaki na kuwaita majina. Wamewaacha mnaanza kulalamika wameshikwa mdomo.
Hii ni Kweli watu wanategemea chadema waseme kwa niaba ya wananchi maana hawaviamini vyama vingine vya upinzani zaidi ya chadema !! Hivyo wakiona kimya lazima watajiuliza je kulikoni ??
 
Back
Top Bottom