Labda kwa sababu Mbowe anafanya ziara kwenye ofisi za Serikali ya CCMTuambie kwanini unasema imewekwa kiganjani na CCM?
Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
wawaulize ACTCHADEMA wametumia approach ya Odinga. Kuna kipindi Odinga aliamua kukaa kimya kuikosoa serikali. Mbona wananchi wakaona umuhimu wake nakuanza kulalamika.
Malalamiko yaliyopo ni baada ya CHADEMA kukaa kimya. Wangekua wanaongea mngewadhihaki na kuwaita majina. Wamewaacha mnaanza kulalamika wameshikwa mdomo.
Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Labda kwa sababu Mbowe anafanya ziara kwenye ofisi za Serikali ya CCM
wawaulize ACT
Wanajua hao ni mawakala wa CCMKweli mkuu. Vyama vipo vingi Sana, ila kutokana na CHADEMA kuwa kimbilio la watanzania, ndio maana wanaisema. Kwa nini sio ACT, NCCR au CUF?.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukunguru hatari sana unamaana kwamba hiki ni kitenzi cha kila kitu twende.Mtoa hoja wewe umeifanyia nini nchi?,au ndio wale wale wa kuogopa hadi vivuli vyao?,acha kujificha nyuma ya key boards na ukunguru wako
Acha afanye tu, maana kutenganisha chama na serikali tulishashindwa kitambo,Labda kwa sababu Mbowe anafanya ziara kwenye ofisi za Serikali ya CCM
Mkuu wewe ni mwajiriwa mpya au ni akili zako tu, ebu soma tena ulichoandika.Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Umenena!! Mwenye macho haambiwi tazama !! Chukua chako mapema ndio mtindo wa Bongoland !! Wananchi bado tuna safari ndefu !! Ila tusikate tamaa !! Tusiposema sisi hata mawe yatasema !!Wanachezewa masharubu,hawana ule mvuto wa mwanzo sasa ni waunga juhudi wakubwa wa ccm,kinachoonekana ni michezo ya kitoto tu wenye akili wanafahamu.
Naamini siasa za Tanzania ni chukua chako mapema wengine watajiju,huo ndio ukweli,halafu kutishana kumezidi zidi ili kuwavalisha uoga waTz.
Hii ni Kweli watu wanategemea chadema waseme kwa niaba ya wananchi maana hawaviamini vyama vingine vya upinzani zaidi ya chadema !! Hivyo wakiona kimya lazima watajiuliza je kulikoni ??CHADEMA wametumia approach ya Odinga. Kuna kipindi Odinga aliamua kukaa kimya kuikosoa serikali. Mbona wananchi wakaona umuhimu wake nakuanza kulalamika.
Malalamiko yaliyopo ni baada ya CHADEMA kukaa kimya. Wangekua wanaongea mngewadhihaki na kuwaita majina. Wamewaacha mnaanza kulalamika wameshikwa mdomo.