Tukubali ukweli, Watanzania si watu wa kufanya maandamano. Tusitegemee miujiza

Your browser is not able to display this video.
 
Kwasasa maisha n mazur,siku yakiwa mabaya tutaandamana tu,na haitakuwa maandamano ya chama kimoja itakuwa n maandamano ya wananchi wote
 
Sababu za kuandamana sio za msingi kwasasa ndo maana hata wafuasi wao wanapuuza.
 
Kama umesoma kwenye vyuo vyetu na ulikuwa unapata mkopo wa bodi, utajua mambo yakiwa magumu; maandamano yalikuwa yanafanyika sana tu.

Sio kwamba Watanzania sio watu wa maandamano; bado hawajafikia mwisho wa uvumilivu.
 
Kama umesoma kwenye vyuo vyetu na ulikuwa unapata mkopo wa bodi, utajua mambo yakiwa magumu; maandamano yalikuwa yanafanyika sana tu.

Sio kwamba Watanzania sio watu wa maandamano; bado hawajafikia mwisho wa uvumilivu.
Sikuhizi yamepungua juz juzi tu hapa kamanda ciro alisema atapiga watu kichapo cha mbwa koko watu wakatulia
 

Uliwahi kusikia maandamano Rwanda? Ni kwa sababu hawana sababu ya kuandamana?

"Wale wanaotusema hovyo hovyo huko South Afrika, Ubelgiji, France, Canada, nk wasijidhanie wako salama. Siku moja watajikuta wameunguzwa moto."

-- Onyo pendwa la PK kwa wapinzani wake lisilojua mipaka ya nchi.

Ataandamana nani Kigali? Au ulikuwa na maana hiyo hiyo kwetu?



Wako wapi Lijenje, Urio, Ben, na kina Azory? Nani alimshambulia Lissu? Nani walikuwa kwenye viroba?

Walaaniwe jiwe na washirika wake kwa ufedhuli wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…