Tukubaliane tu "WANAUME WENGI JF - MMU NI VICHECHE"

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia Thread na Comment zinazotolewa
na pande hizi mbili na kujaribu kuzilinganisha. Nimegundua kuwa wanaume
wanaopatikana hapa JF- MMU ni Malaya ah! samahani ni vicheche sipendi kuzianika
baadhi ya Thread hapa au majina ya watu wanaoongoza kwa tabia hiyo
isipokuwa kila mmoja ni shahidi.

Mfano Mwanaume anaweza kupost Thread kuhusu wanawake wa Mbeya, Atawaelezea
kiunaga ubaga jambo linalothibitisha kuwa katembea na zaidi ya mmoja. Mwingine
atakwambia ah! wanawake wa mkoa fulani bwana wako hivi kitandani yaani
lugha anayoileta ni wazi kuwa katembea na mwanamke zaidi ya mmoja.

Pia zipo Comment ambazo mtu anakwambia tu huyo kandamiza kisha achana nae,
yaani ni wazi kuwa huyu mtu yuko hivyo. Kwa wanawake si jambo la kawaida sana
kukuta wakisifia wanaume wa mkoa huu na huu labda huko ma mambo ya kk....
Sasa sijui ndo kusema wanaume ndo vicheche zaidi?
Nakusudia wanaopatikana hapa MMU.
Krismas njema waungwana.
 
Umejuaje vicheche labda na wewe kicheche maana mchawi anamjua mchawi mwenzie.
 
wewe mwenyewe ndo kicheche halafu neno kicheche ni mahususi kwa mademu kwa wanaume jina linalotambulika rasmi ni 'kiwembe'. Nitarudi baadae
 
Kuchangia hoja haina maana wewe ni mtendaji, be careful dada/kaka sio kila linenalwo ndio litendalwo. Sometimes watu wanachangia kutoa views zao hiyo haina maana ni wahusika, usitutuhumu
 

Wewe una uhakika gani kuwa wanaotoa hizo comment ni wanaume? Mfano mimi pia huwa napiga nachapa lapa, lakini natania kwa kutumia hii ID yangu, kwenye ile nyingine mimi ni Shostito, sasa huoni kuwa conclusion yako ni invalid. Mfano waweza amini kuwa Fidel80 ni Bi Kidude? Na Husninyo ni Nkapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…