Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
wewe mwenyewe ndo kicheche halafu neno kicheche ni mahususi kwa mademu kwa wanaume jina linalotambulika rasmi ni 'kiwembe'. Nitarudi baadae
Kwa hiyo JF tunaishi kifeki feki kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.
Ni kweli mkuu,mtu mwenye mke au msichana au mume au mpenz,huwez mkuta jf akipost mambo ya kijinga,ni wale tu wenye mapenzi ya kidali poo ndo wamejaa.wakati kama huu,ungetakiwa kuwa na mpenz wako,rather than posting nonsese ideas on jf.Nakuunga mkono,wanaume wengi wa jf ni vicheche.tena hawana mpenz wana wapendi..Big up mtoa mada.
Hata tukija hakuna jipya, ni mtizamo wake tu coz kuongea sio kutenda.... nawatetea wanaume wa MMU kwa kuwa wakikaa kimya na kuficha mawazo yao jukwaa litapoa na kupwaya sana....uhuru wa mawazo upo na si kila mtu aandikacho ndo afanyacho.Ngoja waje. 😛opcorn:
Sio lazima wote tuwe wachawi kwani mtu akianguka na ungo lazima uweUmejuaje vicheche labda na wewe kicheche maana mchawi anamjua mchawi mwenzie.
Hiyo ni SUNA tu wala si mbaya ndo maana hata nikifumwa na wife nasamehewa, ila mi nikimfumania mh moto wake noma.hahaa ukweli utawasikia wakisemezana kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni nature ya mwanaume...hasa huu sio ukicheche?
Kwani kupenda mhindi ndo kuwa kicheche? We angalia Comment zilizofuatadont assume Lizzy
wengine we mean bizness
afu huyu si ndo anapenda mhindi baada ya kubinywa mkono
asiseme yeye kicheche kuuziwa flash tu akayeyushwa?
Nime LIKE kwa sababu kuna kitu nimeongeza katika ufahamu wangu kwakisaikolojia ukiona mwanaume anajitokeza 'kuponda' wanaume
wenzake....basi kuna kitu kinamsumbua...
labda anaona anashindwa ku compete since wanaume wote ni hunters
au anaona hiyo ndo njia ya kujipandisha yeye chat
au yuko frustrated na mambo yake so anatoa hasira zake kwa wasiohusika.....
all in all huwezi kutegemea wanawake wajisifie kutembea na wanaume wengi...
ni vigumu......
wanaume ni kawaida hata kama sio kweli