Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hakuwa na akili ya kuwaza biashara za wenzake kabisa
Akilini mwake alikuwa hajui kama biashara ndo uhai wa mtu
Rais wa kwanza Tanganyika kuonekana na bastola hadharani hata aliyekuwa mwanajeshi hakuwahi kuonekana na gwanda za jeshi akiwa rais wala kujionyesha kwenye umati na silaha aina yoyote.Hakujali kuwatandika mikwaju mashangazi wa waziri mkuu hatokuja tokea tena mwamba kama huyo!
Huyu mzee alikuwa mpuuzi sana. Badala ya kuboresha maslahi, yeye analeta vitisho. Kwani huko private hosp wanaotibiwa humo sio watanzania?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣......Chifu uliwaza nini kuleta post kama hii?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂