Tukumbuke kidogo hekima za Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Pombe Magufuli

Hakujali kuwatandika mikwaju mashangazi wa waziri mkuu hatokuja tokea tena mwamba kama huyo!
 

Attachments

  • 20240115_212729.jpg
    60.5 KB · Views: 1
Hakujali kuwatandika mikwaju mashangazi wa waziri mkuu hatokuja tokea tena mwamba kama huyo!
Rais wa kwanza Tanganyika kuonekana na bastola hadharani hata aliyekuwa mwanajeshi hakuwahi kuonekana na gwanda za jeshi akiwa rais wala kujionyesha kwenye umati na silaha aina yoyote.

Ila huyu mwendawazimu na mshamba ndio akaanza utamaduni wa kujionyesha na silaha na kuvaa gwanda za jeshi.

Na silaha hiyo ndio ilimuondoa Ben Saanane.

Covid 19 ilifanya vyema kutuondelea janga hilo kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…