Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

"Mwogo Mchungu"=mwl wa primary alikuwa mnoko bala ukiwa na kosa anaomba uchapwe na zake kadhaa.
"Mjarabati"= mtaalamu wa kupiga bakora huyu hachaga kabisa
'TipTap"= huyu alikuwa anapenda kuvaa kandambili za matairi basi akitembea zinapiga mguuni tiptaptiptap...
 
Mkalamba a.k.a Mwakanosya

teacher wa
history Mtoa S.School
mkali wa stick
hakuna asiyemfahamu especialy walobabwa.
 
Double T-huyu ticha wangu wa primary alikua mwanaume anakitamb na ------ makubwa,,,,,
 
Nchimbi..........headmaster alikuwa anapiga hadi makonda waliokuwa wakijipendekeza kwa wanafunzitall.......................................teacher wa sec. alikuwa mrefu kupita wotespire........................... alikuwa mpelezi sana wa wanafnz
 
Bufu,geograqh.pande za sad sec
Nchimbi..........headmaster alikuwa anapiga hadi makonda waliokuwa wakijipendekeza kwa wanafunzitall.......................................teacher wa sec. alikuwa mrefu kupita wotespire........................... alikuwa mpelezi sana wa wanafnz
 
mambo ya huruma ps hayp,ilikua ni shubeq shirima uncle cjui nn quebec
 
BABU= Mwl wangu wa Hisabati primary,umri ulikuwa umeenda
CHAI=mwl. wa nidhamu primary viboko alikuwa akiita chai
KJ= Mwl wa Motor vehicle mechanics alikuwa mdoko balaa wanafunzi wakambatizaj ina la Kubwa Jinga so wakalifupisha kuwa KJ,ticha akadhani wanamsifia basi siku moja akasimama parade na kuanza kujitapa "mimi ndiye Kamanda wa Jeshi au KJ wanafunzi hoi ila kuna baadhi ya maticha walijua mchezo wakamtonya mbona ilikuwa shida.
COMANDO= 2nd Master Secondary alikuwa mnoko balaa afu alikuwa kajazia kifua.
CALLIPER= mwl wa Engineering Science
MABALA=mwl wa English
NGOSWE/FASIHI= mwl wa kiswahili.

Arusha Tech Mkuu chuo alikuwa akiitwa Mbosoli wakati wa uongozi wake pale chuoni kulikuwa na mikate fulani midogo inaokwa kwaajili ya wanachuo tukaibatiza jina la "vimbosoli"
 
Master PUMBU.... tuliwahi kumvizia usiku anatoka kwenye mbege kalewa tumasindikiza na bakora hadi kwake.
 
Patriot....aah mwl. wangu Civics alituambia saana kuhusu uzalendo basi jina akapewa
Africanus...mwl wangu History alinifanya niipende History...Maruku S.S Bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…