Mzee tulikuwa pamoja ile shule karibu na bahari nini?Fiudo-mwalimu anyefundisha Civics, pat ya modes of production (Feudalism)
Exotic-Mwalimu aliyepewa jina baada ya kufundisha exotic breeds of livestock
PUSI - huyu alikuwa Discipline Master "Makumix" pamoja na sifa nyingine alizokuwa nazo kwa madenti, alikuwa anatabia ya kunyemelea sehemu madenti wamepoa kwa story au kujisomea. Sometimz alikuwa anabadili mwendo kwenye giza ili tusimtambue. Sijui yupo wapi kwa sasa. This was 1998
you must be my school mate...mr.sherimo now ni DEO wa Temeke that man was genius.kigonsera au kigonsese;jina la h/master aliyehamia PUGU BOY akitokea shule ya kigonsera
MABAGS; master minds..alikua anajua majina ya wanafunzi wooote
SHUNGU;jina la head master wangu uzuri prymary2000
Jamani Mwl Magambo yupo? Alikuwa second master Nganza miaka ya late 1980s!
Gurudumu: mwalimu mmoja Ashira girls, sikumbuki jina lake halisi ila shape kama gurudumu alikuwa mwl wa cookery