Uchaguzi 2020 Tukumbuke tulikotoka, tuamue tunapoenda

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2020
Posts
275
Reaction score
802
Tumetoka kwenye ukata wa pesa

Tumetoka kwenye asilimia 15 ya bodi ya mkopo

Tumetoka kwenye mateso, utekaji na mauaji

Tumetoka kwenye ukosefu wa ajira

Tumetoka kwenye kusimamishwa fao la kujitoa

Tumetoka kwenye biashara kufungwa

Tumetoka kwenye kutoongezwa nyongeza ya mwaka na mishahara ya watumishi

Tumetoka kwenye soko hafifu la mazao ya chakula na biashara

Tumetoka kwenye uminyaji wa uhuru na demokrasia

Tumetoka kwenye taifa la vitisho na kubambikiana kesi

Tumetoka kwenye sheria kandamizi zilizotungwa na bunge

Tumetoka Tanzania ya 2015-2020, tunaenda Tanzania ya 2020-2025
 
Haya tumekusikia weka vizuri kitambulisho chako tarehe 28 Oct ukapige kura ! then baada ya matokeo!. Utakuwa umeyapata majibu ya tulipotoka!.
 
Tumetoka kwenye ukata wa pesa

Tumetoka kwenye asilimia 15 ya bodi ya mkopo

Tumetoka kwenye mateso, utekaji na mauaji

Tumetoka kwenye ukosefu wa ajira

Tumetoka kwenye kusimamishwa fao la kujitoa

Tumetoka kwenye biashara kufungwa

Tumetoka kwenye kutoongezwa nyongeza ya mwaka na mishahara ya watumishi

Tumetoka kwenye soko hafifu la mazao ya chakula na biashara

Tumetoka kwenye uminyaji wa uhuru na demokrasia

Tumetoka kwenye taifa la vitisho na kubambikiana kesi

Tumetoka kwenye sheria kandamizi zilizotungwa na bunge

Tumetoka Tanzania ya 2015-2020, tunaenda Tanzania ya 2020-2025
Mbona haina hata ladha na haivutii.
 
Back
Top Bottom