Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
tukubali,tusikubali,one thing is certain,the war against uganda's idi amin,put a brake on maendeleo yetu.from that time onwards,tanzania imelegalega sana,as a country we never recovered and its evident our woes began from this time.All our scarce resources were put up,to funding this war.the aftermath,books have never balanced .and to cap it all we tanzanians were taken for a ride,which involved a hidden agenda,to reinstate Milton obote
Unajua the fun thing kuhusu all this, ni kwamba nasikia kuwa sisi na Amin, tulikuwa tunanunua silaha za vile vita mahali pamoja, na sasa hivi madeni yetu ni karibu sawa na kwa mdeni mmoja, what a joke!
Mmmh jamani hizi sio stori za maskani sasa? Nina shaka nazo! lete ushahidi mkulu!FMES,
Kuna wakati Soviet Union walikataa kutuuzia mizinga ya katyusha. Mwalimu akampigia simu rais wa Angola. Kati ya nchi zilizotusaidia sana katika vita na Iddi Amin Angola is on the top. Lile Boeing 737 lilipelekwa Luanda limetolewa viti vyote likarudi na mizinga.
...Enzi hizo Vyombo vya habari vilikuwa vinamilikiwa na Serikali, kuanzia RTD, magazeti ya UHURU, MZALENDO, DAILY NEWS na SUNDAY NEWS, si ajabu 'propaganda' za kudidimia uchumi kutokana na vita vya Kagera pia zilikolezwa kwenye vichwa vyetu, ...hivi tulipotwangana nae Amin huyo huyo 1971/72 uchumi haukutetereka?tukubali,tusikubali,one thing is certain,the war against uganda's idi amin,put a brake on maendeleo yetu.from that time onwards,tanzania imelegalega sana,as a country we never recovered and its evident our woes began from this time.All our scarce resources were put up,to funding this war.the aftermath,books have never balanced .and to cap it all we tanzanians were taken for a ride,which involved a hidden agenda,to reinstate Milton obote
Picha Iiliyomwogopesha MKAPA ilipigwa Msikiti wa Mtambani baada ya mauaji ya Mwembechai
Hivi ipi hasa bendera ya Zanzibar kati ya hizi naona kanchi kilikuwa kinabadilisha bendera kama shati!!
View attachment 2287
View attachment 2288
View attachment 2289
View attachment 2290
View attachment 2291