Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 10
Wakuu wote heshima mbele, naomba kusema kwamba sasa tumefikia mwisho wa hii thread, na mipango yote ya kuigeuza hii thread into a book imeshafikia 80% tayari, sasa tunasibiri estimate ya gharama za kukitengeneza kitabu chenyewe na kuwasiliana na wahusika wote muhimu, ikiwa ni pamoja na Mkulu Max.
- Haya wakuu kama tulivyoahidi jana, hii picha ni baada ya kusainiwa mkataba wa amani kati ya Tanzania na Uganda, mkataba ambao ulisimamiwa na the then Rais wa Somalia Maj. Gen Siad Barre, kati kati juu, na kusainiwa na mawaziri wa nje wa Uganda kushoto Bw. Kiwanuka na Waziri wa nje wa Tanzania DK. Malecela, kulia.
FMES!
Mkuu FMES,
12 November 2008 ulibandika ujumbe huu,
Sasa leo baada ya huyu mzee kutuchezea akili umeamua kumleta kwa picha sijui ni ili tumuone umuhimu wake.
Kwa kweli nimeshindwa kuelewa kwa nini umeifungua hii thread tena kwa kubandika picha ya mtu ambaye tumeshamuona kuwa ni MNAFIKI.
Kama uliamua kuifunga hii thread, well and good, tusubiri kitabu, lakini kama unataka kuongeza picha, basi tuletee za watu tunaowaheshimu maana Malecela heshima yake kwetu imepungua sana.
I would rather see picha ya Chakubanga than of another selfish individual. Kama unabisha kuwa huyu hatumthamini tena, jaribu kura za maoni humu JF uone matokeo yake.
aidha msisahau kuangalia mambo ya
haki miliki (copyright) yamekaaje kaaje.
hususan kuhusu picha.
ni ushauri tu.
- Labda ufafanue kidogo maana sijaelewa unachosema, unasema nini hasa mkuu?
FMES!
aidha msisahau kuangalia mambo ya
haki miliki (copyright) yamekaaje kaaje.
hususan kuhusu picha.
ni ushauri tu.
Mkuu historia yetu ina hatimiliki?
- Mkuu hayo ni mawazo yako tu na hii ni demokrasia unasikilizwa na tunaendelea na kukata ishus, kama wewe humuheshimu kiongozi yoyote wa taifa letu ni wewe na unaowawakilisha tu, lakini haina maana shughuli zetu hapa JF zitasimama kwa sababu ya mawazo yako wewe mtu mmoja huo ni uselfish na ubainfsi wa hali ya juu sana kwamba wewe usipotaka something, basi taifa zima tukufuate wewe, hapana mkuu kama good for you ila sisi wananchama wa CCM kwetu ni kiongozi na mzee wa kutusaidia busara tunapokuwa na matatizo ndani ya chama chetu kama sasa.Wazee wa sauti ya umeme FMES!
Makaayamawe;
Mkuu FMES,
Kila mtu anajua niandikayo ni mawazo yangu binafsi, kama yalivyo ya Mzee wetu Malecela juu ya nani akiwa raisi ataisaidia nchi. Kama mawazo yetu yatashabihiana na constituencies zozote ndani au nje ya CCM, JF n.k., tutajua hapo baadae lakini hatutaacha kuteta.
Mzee Malecela siku zote ni msikifu na ana humility at a personal level, ila sikumbuki ni lini ndani ya CCM busara zake zilisikilizwa?
Tunajua mkuu, kwako ishu yoyote inayomhusu Malecela and Mrs, wewe huachi kuipigia debe, na kwa hiyo hatushangai ulipotoka likizo kwa ajili hiyo.
Lakini nafikiri imefikia wakati sasa either ukae kimya au ujichunguze wewe mwenyewe,
maana Mzee wetu Malecela anachofanya hapa ni kuiuza nchi.
Maana hatuwezi kumpiga vijembe Lowasa, RA, n.k. halafu tukasema best wao JK aendelee ulingoni kuwapigia kifua. Huu utata utaupa mwenyewe jina ili usije ukasema nimekutukana.
Kwa hiyo unapoanza tena kumpamba Malecela kwa kuleta thread uliyokwishaifunga wewe mwenyewe unazidisha tu kinyaa ambacho tunacho na kilichotokana na maneno yake Mzee Malecela.
nia yangu hasa ni kuona kitabu kinatoka bila mtu hapo
baadae kuweka zengwe. kwa maneno mengine mchango wangu ni
angalizo tu.
I would rather see picha ya Chakubanga than of another selfish individual. Kama unabisha kuwa huyu hatumthamini tena, jaribu kura za maoni humu JF uone matokeo yake.
Hii kali, hata kama mtu unamchukia kiitikadi hutakiwi kufika huko.
- Mkuu nimekusikia sana, hakuna yeyote mwenye nia ya kuuza hicho kitabu, na hatujawahi kusema hivyo kwamba tutakiuza, hapana kwa hiyo mkuu usiwe na wasi wasi na hilo la kwamba kuna anyesubiri kuuza, kwa sababu hakuna! tunakusudia kusaidia kulemisha taifa kwa kuvigawa bureee!
Respect!
FMES!
- Wakuu wote vipi wakuu, kuanzia kesho tunataka kuanza tena kuweka picha hapa za siasa na wanasiasa wetu, wadogo kwa wakubwa na wananchi wengine waliowahi kuwa maarufu katika taifa letu kwa nyakati mbali mbali za historia ya taifa letu, na hata matukio muhimu yaliyowahi kutokea katika taifa letu,
- Wakulu wangu Invisible, Son Of Alaska, Kichuguu, Mchongoma, Icadon, GT, Kibunango, Mwanakijiji, Steve D, Ngw'aninyami, Mkulu Mwenyewe Masa, na wengineo wote tafadhali leteni vitu hapa tuburudike na elimu ndani yake, maana sasa kazi picha picha wakuu.
Field Marshall Es.
.........jamani mnamuongelea mwakitwange aliyekuwa amepanga nyumba namba 8....tandamti [mission kota]..brazameni koko.....,Hivi bado yupo na yule mwanamke wake mweupe aliyekuwa ATC....??
NASIKIA ile nyumba aliyokuwa anajifanya yake[kumbe amepanga]..imeuzwa na amehamia ukweni???