Usikimbie sana mbali kaka, tukumbushane pia ni taifa lipi? Tanganyika? ma'ke Tanzania ni mkiwa sasa haeleweki, Zanzibar yupo kivyake, sema tukumbuke vizuri tanganyika yetu, haka ka nchi tunako katawala hakutupi faida yoyote so far! Kanalalamika tu, ka mke mdogo!