mkuu unepitwa sana .. napenda manundu sipendi vijipu .. vijipu uchungu mbona ilikuwa ni hit song ya wakati huomi mbona siujui
mkuu unepitwa sana .. napenda manundu sipendi vijipu .. vijipu uchungu mbona ilikuwa ni hit song ya wakati huo
Dah! Umenikumbusha mbali sana kwa hizi video...Wewe unaongelea wimbo wa Mashaka. Huu sio wa zamani
Kuna kitu kingine kinaitwa Nakupenda tu. Hebu checki hapa: