tukumbushane enzi zile mpwapwa sekondari

Goodvision

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
858
Reaction score
467
heshima mbele wadau.

kwa wale waliosoma shule hii ya mpwapwa sekondari mtakumbuka mengi sana mkisikia jina hili.hakika nilijifunza mengi sana.kama uliwahi kupita shule hii sema kitu tafadhali

:majani7::majani7::majani7:

nawasilisha
 
Unapajua PoZI? Nakumbuka ugomv wa O level vs A level
 
Unapajua PoZI? Nakumbuka ugomv wa O level vs A level

mkuu elviejo,pozi ni sehemu mmoja iko kule ilikokuwa karakana ya shule zaman,masela wote walipenda kukaa huko hata wale ma-blind.duh si mchezo
 
mm namkumbuka sana mkuu Naali na matcha wengine kama Mwasamila na mkuda Shauri pia nakumbuka sana mashindano ya interclass
 
mm namkumbuka sana mkuu Naali na matcha wengine kama Mwasamila na mkuda Shauri pia nakumbuka sana mashindano ya interclass

mkuu naali alihamishwa na sasa mkuu pale ni shauri,kazi ipo kwa nnavyomfahamu yule
 
mkuu elviejo,pozi ni sehemu mmoja iko kule ilikokuwa karakana ya shule zaman,masela wote walipenda kukaa huko hata wale ma-blind.duh si mchezo

ogopa kaka Bt ndo pashakufa naw shule imekuwa mbaya wanalimishwa.uNAMKUMBuka MkonO wa chuma?
 
Hii ni muhimu sana tukutane ili tufahamiane na kukumbukana ndugu zanguni,kumbukeni shule yetu ilianza mwaka 1926,nina imani ni kati ya shule kongwe Tanzania,nashauri kila mkoa tutambuane na tuchague viongozi wa mikoa hiyo kama ilivyokuwa Azimio,maendeleo,ujamaa,jitegemee na mapinduzi/muhimbili ili tupange kipi tunaweza kufanya kitu kikubwa sana,tusaidiane kupeana taarifa watu wengi waweze kujiunga na kutumia hii njia, unakumbuka TUMBUKTU?,MJENGO enzi za akina BOB? na mzee TEU? na KULE SINAI,itis mpwapwa sec which made my today's life. have a positive response.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…