Tukumbushane enzi zile za shule tukiwadanganya wazazi ili tupate pesa

Joined
Jul 12, 2017
Posts
84
Reaction score
77
hebu tukumbushane baadhi ya mikwale tulalowapinga wazazi wakati tukiwa shuleni na vyuoni ili tujipatie pesa kwa visingizio ,hakuna asiyejua maisha ya shule yalivyo mangumu ni zaid ya magufuli naanza na Mimi niliwandanganya wanitumie laki3 kwa ajil ya field, hebu tutililike sasa
 
Sikuwahi fikiria kitu kama hicho Mimi nilipewa hela ya kulipia chumba na Mzee lakini mwenye nyumba akasema sina haja ya kulipa nilikaa na ile hela almost miezi sita nikamrudishia Mzee hela yake mzee alinikubali utadhani nimezaliwa peke yangu
Na mwisho kabisa ni pale maza aliponipigia simu nikiwa advance akiniuliza kama tunalipwa hela maana ni mda mrefu sijaomba hela ya matumizi
 
Sijawahi aisee ila juzi mdogo wangu wa kike aliniomba hela kuwa wanaenda tour Bagamoyo kilichotokea nilitamani tugawane majengo ya serikali.

Maana alienda beach na watoto wa kihuni sijui hata aliwaza nini.
 
Me sanaa aisee...!! Helaa ya field mara PC sijui imezingua... Sema mzee naee huwa ananishawishii nimpigee vibomuu...
 
Sijawahi aisee ila juzi mdogo wangu wa kike aliniomba hela kuwa wanaenda tour Bagamoyo kilichotokea nilitamani tugawane majengo ya serikali.

Maana alienda beach na watoto wa kihuni sijui hata aliwaza nini.
sory naomba urafiki na wewe
 
Nili wai kumpiga kibomu mzee cha laki 5, nika mpigia simu nime kutana na vibaka usiku wame ni teka wame chukua pc .. dah nafsi ili nisuta baada yaku kata simu sikua na amani kabisa. Mungua ani samehe ila maisha yali kua magumu kipindi icho week 3 nakunywa chai na lala chuo ...
 
Jamaa moja alisingizia amevunja oksijeni na anatakiwa alipe elfu sabini.
Baba aliuza ng'ombe wawili akatumiwa kwa TMO enzi hizo.
Jamaa aliacha kula chakula cha shule ikawa ni hotelini tu. Alitunyanyasa sana
 
Mwaka juzi kipindi nimepanga karibu na maeneo ya chuo# jamaa yangu pesa ilikata wakati alikua katumiwa kama wiki tu kisa# kufanya matumiz na kwenda disco na starehe nyingine # sasa tukasuka deal nikampigia dingi wa msela nikamwambia anaongea na baba mweny nyumba na akichelewesha kodi namtoa kweny nyimb yangu kiukweli nafsi ilinisuta sana..maana mzee alikua ananiomba chonde chonde n msitir kijna wake # ilo deal nakumbuka tulipiga kama laki 4 ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…